![]() |
| Jimmy Enzi za uhai wake Akiwa Kwenye Helkopta yake aliyokuwa anaitumia kwenye safari zake za hapa na pale. |
Mfanyabiashara wa madini,mwenye umri mdogo Jimmy Mcmele,21 amefariki dunia juzi usiku kwa ajali ya gari maeneo ya Mbuyuni-Tegeta, Dar akiwa na katika gari yake aina ya Benz. Jimmy anazikwa leo,Mbweni,Bahari Beach nyumbani kwa mama yake mzazi.
RIP Jimmy.


No comments:
Post a Comment