 |
| Petitman Wakuache na Mkewe Esma Khan. |
Mmoja wa wafanyakazi wa Miss{Tz}2006 Wema Abraham Sepetu,na shemeji wa Msanii mahiri {Bongo}Diamond Platnumz, Petitman "Wakuache" juzi alichafua hali ya hewa mtandaoni,baada ya Post aliyoiweka mtandaoni Instagram kupata comment ambayo hakuitegemea,na kusababisha kuporomosha mitusi mikali iliyoleta mshangao kwa wengi hasa kutokana na jinsi wengi wanavyomchukulia kama kioo cha jamii.
 |
| Mwanamitindo Rashida Wanjara akiwa amembeba mtoto wa Petitman"Wakuache"Taraji Wakuache. |
No comments:
Post a Comment