Thursday, 30 July 2015

BREAKING NEWZZZ...BAADA YA KUCHUKUA FOMU YA URAIS KUPITIA CHADEMA ..LOWASA AANDIKA UJUMBE HUU

Nimechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama changu,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukiwakilisha kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninapenda kutoa shukrani kubwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa heshima hii kubwa pamoja na wananchi kwa ujumla kwa kujitokeza kwa wingi leo kuniunga mkono. Asanteni sana.

No comments: