Thursday, 30 July 2015

Jokate ashambuliwa baada ya kuwakosoa wanaomuunga mkono Lowasa

Jokate Mwegelo
Mwanadada Jokate Mwengeleo ameshambuliwa na wafuasi wa Lowassa baada ya kuweka Tweet iliyotafsiriwa kama inawakosoa watu wanao muunga mkono Edward Lowasa baada ya kuamia CHADEMA kutoka CCM, Tweet hiyo ilikua inasema hivi,


No comments: