Msanii jembe wakilishi la Tanzania{Bongo}Diamond Platnumz anayeendelea kumake headlines kila kukicha kwenye Media tofauti kutokana na uwezo wake kuzidi kukuwa kimataifa,
Hii ni baada ya Diamond kuwa mshindi wa tuzo bora za muziki Africa{MTV MAMA AWARDS 2015} kwenye kipengele cha mtumbuizaji bora wa kiume kwa mwaka 2015.
Kupitia ushindi huo imani imezidi kuwa kubwa kwa Wabongo,haswa baada ya kutangazwa kugombea kwenye vipengele vingi katika tuzo nyingine za AFRIMMA AWARDS 2015.
ANGALIA VIPENGELE ANAVYOSHINDANIA HAPO CHINI,
1. Best Artist Of the Year
2. Best Dance Video (Nana)
3. Best Video (Ntampata Wapi)
4. Best East Artist of the Year
5. Best Collaboration (Nana)
6. Song of the Year (Ntampata Wapi)
7. Best Inspiration Song: Alive by Bracket ft Diamond platnunz & Tiwasavage...
NB:-Kufuatia kuteuliwa kugombea katika vipengele hivyo Diamond ameandika,

Eeeh
Mwenyez Mungu Baba nakushkuru sana kwa kuendelea kubariki Kazi
yangu... Siku zote nitaendelea kuwa Mwema na kuhakikisha nafanya kazi
kwa bidii... 🙏 6 NOMINATIONS ON AFRIMA AWARDS...
1. Best Artist Of the Year
2. Best Dance Video (Nana)
3. Best Video (Ntampata Wapi)
4. Best East Artist of the Year
5. Best Collaboration (Nana)
6. Song of the Year (Ntampata Wapi)
7. Best Inspiration Song: Alive by Bracket ft Diamond platnunz & Tiwasavage...
Thanks alot @Afrimma for recognizing my Work.. i wish you Guys can understand how these Nominations means to me....🙏 thanks alot to all Media Houses for keep supporting my Music without forgetting My Die Hard Fans #TeamWasafi na Wote wapenda Muziki wa Bongoflavour

No comments:
Post a Comment