Friday, 17 July 2015

DIAMOND NA DAVIDO WAKUTANA SOUTH AFRICA.

Mastaa wawili wa muziki walioteka vichwa vya habari bongo kwa stori yao ya beef mpaka kupelekea matusi mitandaoni na makundi ya watu kujigawa sababu yao wamedhihirisha kuwa hawana tofauti na ilikuwa  MISUNDERSTANDING ya mashabiki wao.
Kwa mfuatiliaji mzuri wa habari za muziki hii stori ilipelekea baadhi ya Watanzania kufikia kutompigia kura Diamond na kumpa kura yao Davido kwenye tuzo za MAMA.
Wakiwa wamekutana kwenye kilele cha tuzo hizo nchini Afrika kusini wasanii hawa wameionyesha dunia kuwa hakuna tofauti kati yao.


No comments: