Monday, 13 July 2015

KIMENUKA:-MGAMBO WA JIJI NA WAMACHINGA.

Wanamgambo wa Jiji la Dar-es-Salaam wakishirikiana na Polisi wamewaamuru Wamachinga wa Kariakoo kuanzia leo Jumatatu wahamie Jangwani kufanya biashara zao.
Jambo lililopingwa vikali na Wamachinga hao,wakigomea uhamisho wakidai Biashara zao zinahitajika kuuzika mjini na wala si kwingineko
TUTAENDELE KUWAJUZA KILA TUTAKAPOPATA TAHARIFA ZAIDI.........

No comments: