Tuesday, 21 July 2015

KUBENEA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO{CHADEMA}

Saed Kubenea
Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers, Bw,Saed Kubenea amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo{Chadema}

No comments: