RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Monday, 6 July 2015
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yawahukumu Mramba na Yona kwenda jela miaka 3.
Kushoto Gray Mgonja{Shati la Draft},Daniel Yona{katikati}na Basil Mramba.
Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miaka mitatu waliowahi kuwa
mawaziri ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Basil
Mramba aliyekuwa waziri wa Fedha na Daniel Yona aliyekuwa waziri wa
Nishati na Madini kwa matumizi mabaya ya madaraka kuisababishia serikali
hasara ya shilingi bilioni 11.7 Hata hivyo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Gray Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.
No comments:
Post a Comment