Thursday, 30 July 2015

Mhe. Edward Lowassa ndani ya makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam.

Mh. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, Kwa ajili ya kuchukua fomu




Mhe. Edward Lowassa (kushoto) na akiwa na mke wake Regina Lowassa wakisaini datari la wageni katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar es salaam, Leo Alhamisi 30 Julai 2015

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu uenezi Chadema{Zanzibar}Bw, Salum Mwalimu

Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam
VIDEO:-Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA leo kimempitisha bila kupingwa Mhe. Edward Lowassa kuwa mgombea wa Uraisi kupitia chama hicho.
HABARI - JULY.30.2015 | AZAM TV

Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kimempitisha bila kupinga Mhe. Edward Lowassa kuwa mgombea wa Uraisi.

Posted by Simu.TV on Thursday, July 30, 2015

No comments: