Tuesday, 21 July 2015

Nay wa Mitego anyang’anya vifaa vya studio{Free Nation}?

Kuna taarifa zilizozagaa kuwa anayedaiwa umiliki wa studio ya Free Nation, msanii Nay wa Mitego amegombana na Producer  Mr. T Touch wa Studio hiyo na kuamua kuchukua vifaa vyake vya studio kwa madai ya kutozwa fedha za kurekodi.
Sikiliza sauti za wawili hao wakilizungumzia hilo,ikiwemo sauti ya Nay akipiga biti Studioni hapo wakati akichukua vitu vyake,japo baada ya kuulizwa Nay aliikana sauti hiyo.....

No comments: