Tuesday, 21 July 2015

Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda

Nuh Mziwanda & Shilole.
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana”  Shilole  amenukuliwa na Eatv.tv akieleza hilo.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana kwao.

No comments: