Mbunge
wa Kongwa aliyemaliza muda wake ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la
jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amehojiwa na jeshi la Polisi
Mkoani Dodoma kwa tuhuma za kumshambulia kwa fimbo na kumjeruhi mgombea
mwenzake
Akithibitisha kuhojiwa kwa Mh. Ndugai, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma amesema kuwa walilazimka kumhoji Mh. Ndugai baada ya kupokea malalamiko kuhusiana na tukio hilo lilitokea wilayani kongwa hivi karibuni lakini baadae walimuacha kwa dhamana na uchunguzi unaendelea
Source-EATV
![]() |
| Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime. |
Akithibitisha kuhojiwa kwa Mh. Ndugai, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma amesema kuwa walilazimka kumhoji Mh. Ndugai baada ya kupokea malalamiko kuhusiana na tukio hilo lilitokea wilayani kongwa hivi karibuni lakini baadae walimuacha kwa dhamana na uchunguzi unaendelea
Source-EATV

No comments:
Post a Comment