![]() |
| Ramadhan Masanja"Banzastone" |
Mwanamuziki mkongwe kwenye muziki wa dance nchini Tanzania Ramadhan Masanja"Banza Stone" alikutana na Waandishi wa habari wachache kwa ajili ya kukanusha taarifa za kuzushiwa kifo, akiongelea maisha yake kwa sasa na kilichokua kinamsumbua kiafya.
Waweza Kuiangalia Video hapo chini,

No comments:
Post a Comment