Tuesday, 4 August 2015

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SINGIDA AJIUNGA CHADEMA

Mgana Msindai

Huku wakiwa wameridhia Dr Slaa kupumzika kwa sasa,habari zinazotufikia chumba cha habari ni kuwa mfuasi wa Lowasa Mgana Msindai ambaye ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida naye ametambulishwa rasmi muda huu kwenye mkutano wa baraza kuu la Chadema!
linaloendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

No comments: