![]() |
| Miss Mosunmola Oladipo |
Anaitwa Mosunmola Oladipo, msichana mwenye umri wa miaka 19 ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha maswala ya Uuguzi Lagos, nchini Nigeria.
Mnamo mwaka 2009, Wizara ya afya ya nchi hiyo iliwahi kuwaandikia barua ya onyo waandaji wa shindalo hilo kutokana na wazazi wengi kulaumu kwamba linawazalilisha watoto wao.
Lakini bado limeendelea kufanyika na mwaka huu 2015 msichana Mosunmola Oladipo ameweza kuibuka mshindi akiwabwaga wenzake zaidi ya 50.
Pamoja na kuwa na usichana , lakini Majaji wamesema vigezo vingine vilivyotumika kumpata mshindi ni lazima mshindani awe na upeo mkubwa wa mambo yanayoendelea duniani.

No comments:
Post a Comment