Ajali: Gari Mkoani Njombe, Wilaya ya Ludewa Kata Lugarawa limetumbukia kwenye mto Lugarawa
-Watu 5 wamefariki, na wawili wamejeruhiwa .
Ajali mbaya Imetokea wilayani Ludewa kata ya Lugarawa ambapo imeondoa uhai wa watu takribani watano waliokuwa wakitokea Lugarawa kwenda Shaurimoyo.
Gari hilo limetumbukia mto Lugarawa na kuondoa uhai wa watu hao.
Pumzikeni kwa Amani wapendwa wetu.
Updates...
Waliofariki ni Alon Haule miaka 40,Upendo Mbawala 29,Wenslaus Mtweve 40,Editha Haule 35 na Paskalius Mlwilo 20 ambaye ni mwanafunzi wa chuo cha uuguzi Lugarawa.
Marehemu Alon Haule ndiye mmiliki wa gari hilo ambaye amefariki yeye na mke wake pia Wenslaus Mtweve
Majeruhi ni Huruma Mwinuka na Gerado Mwinuka.
Gari ni T613 AKA Toyota cresta.

No comments:
Post a Comment