Msanii Meninah ni miongoni
mwa zao lililozaliwa na Bongo Star Search na baada ya hapo zikafuata
kazi zake ambazo zilimuweka kwenye nafasi nzuri na watu kumjua Who is
Meninah?
Jana
amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kupost picha zake dizain kama
amefunga ndoa na hii ndiyo post aliyo ipost kupitia Instagram Acc yake...
“Yeah ni kweli ameolewa Meninah, mengine siwezi kuongea zaidi ya jibu hilo basi,” amesema Atick.
Kama ni kweli, tunampongeza Meninah kwa hatua hiyo.




No comments:
Post a Comment