Friday, 14 August 2015

jamaa alie vunja record ya dunia ya kuwa na kucha ndefu zaidi

Joseph wemeru
Imezoeleka watu wa mabara ya nje ndiyo huwa wanaingia katika record za dunia kwa kuwa na vitu unique lakini this time around imekuwa tofauti kwani Jamaa aliyefahamika kwa jina la Joseph wemeru ameingia katika list hiyo akitokea nchini Kenya.
Bwana Joseph ana kucha zenye urefu wa futi 1.3 amezidi kuwa maarufu Mombasa nchini Kenya kwa kucha zake.
Disadvantage iliyopo ni kwamba hawezi kufua wala kuingiza mkono sehemu yoyote kama kwenye wallet.
Na kitu kizuri kwa bwana Joseph ni kwamba katika kucha zake,amejichora rangi ya bendera ya Kenya na amesema kwa yoyote atakayekuwa akitaka kupiga picha basi atakutana na rangi ya bendera ya Kenya.

No comments: