Rashid Mwinshehe Mzange (Kingwendu), achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kisarawe
-Atagombea kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF
Msanii Kingwendu amepitishwa kugombea ubunge jimbo la Kisarawe kupitia UKAWA (CUF) na hii inaonyesha tulivyojidhatiti kuleta MABADILIKO na kusimamisha wagombea MAKINI SANA.wanasisitiza UKAWA,fuatilia PICHA wakati kingwendu akielekea kuchukua fomu ya UBUNGE kupitia UKAWA kwa tiketi ya chama cha CUF.

No comments:
Post a Comment