Ilikua August 17 2015 Dar es salaam kwenye birthday party ya Rommy Jones
ambaye ni ndugu wa mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz vilevile
ndio official Dj wake ambapo vilevile tulimpata Diamond kwenye Interview na kuongelea ile Issue ya msg ambazo anaonekana kuandikiana na aliyekuwa mpenzi wake kabla ya Zari"Wema Sepetu",ikiwemo pia ishu ya kupima DNA kwa mtoto wake na Zari.hii ni kutokana na complain zilizoibuliwa na Ex wa Zari akidai uhalali wa mtoto Tiffah....
FUATILIA INTERVIEW HIYO HAPO CHINI,
FUATILIA INTERVIEW HIYO HAPO CHINI,

No comments:
Post a Comment