![]() |
| Msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ akibembelezwa. |
BONGE la soo!
Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba.
![]() |
| Mshindi wa TMT 2015,Dennis Luis Laswai muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndiye mshindi wa shindano hilo. |


No comments:
Post a Comment