Friday, 7 August 2015

MTOTO WA DIAMOND ALAMBA DILI LA MAMILIONI.

Mtoto wa msanii mahiri toka nchini Tz Diamond Platnumz,aliyezaliwa usiku wa kuamkia jana ameingia ulimwenguni kwa kishindo kikubwa baada ya kukamata dili la maana toka kwa duka la watoto "Baby shop Mall"lililopo Msasani jijini Dar es salaam.....

Napenda kumtangulizia Allah shukrani zangu nyingi kwa Barka na Mapenzi mengi anayozidi kuyapata Binti yangu @princess_tiffah toka kwenu wapendwa wangu... Napenda kuwajulisha kuwa @princess_tiffah amebahatika kupata 50Million Endorsement toka #BABYSHOP ya @Msasani_city_mall & @pugu_mall Mkataba ama makubaliano hayo ni ya kuwa Balozi wa #BABYSHOP iliyopo @Msasani_city_mall & @pugu_mall kwa Muda wa mwaka mmoja....Ubora wa bidhaa zilizopo katika #BABYSHOP ya Mall hizo ndio sabau kubwa ya mimi na mama ake @zarithebosslady kukubali Binti yetu kuwa Hilo ndio duka Pekee litalomvalisha na kumpatia Nyenzo zote za watoto... Ningependa ifahamike kuwa Chochote utachomuonanacho @Princess_tiffah kimetoka duka lililo kwenye Mall hizo...Napenda kutoa shukrani za dhati kabisa katika uongozi Mzima wa @Msasani_city_mall & @pugu_mall kwa kuwa Mfano Bora๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ #ProudDaddy๐Ÿ’ช

A photo posted by Chibu Dangote..๐Ÿ˜ท (@diamondplatnumz) on

No comments: