Monday, 10 August 2015

POLISI WARUHUSU MAANDAMANO YA UKAWA TOKA CUF HADI NEC.

Baada ya mazungumzo kati ya Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam na Viongozi wa UKAWA, hatimaye jeshi la Polisi limekubali na kuruhusu maandamano ya mgombea Urais CHADEMA Mh. Lowassa yaanzie ofisi za CUF Buguruni kwenda Tume ya uchaguzi (NEC)

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Inj James Mbatia.
Umati wa Wananchi wa jiji la Dar es salaam wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Ngoyai Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi  za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

No comments: