![]() |
| Shilole a.k.a Shishi Baby. |
“ Mimi naona sasa wananituma kuanza kusaka waume za watu kwa kweli kwa sababu mwaka mzima kweli na hiyo ni kazi ambayo naitegemea kwa kila kitu katika maisha yangu kwa nini mtu usiwaze vitu vingine kama huna kazi ya kufanya jamani, yaani inaniuma sana,” . Alisema Shilole.
Source GPL

No comments:
Post a Comment