Monday, 7 September 2015

Audio: Juma Nature athibitisha kuipigia kampeni CCM

Msanii mkongwe  Juma Khassim Nature ametangaza rasmi kurudi na kukipigia kampeni chama Tawala CCM. Aliyasema hayo siku ya jana alipokua akifanya mahojiano na waandishi wa Habari kuhusiana na msimamo wake kwenye kampeni za kisiasa ambapo pia alifuatana na Mgombea ubunge  jimbo la Mbagala  Issa Mangungu.

No comments: