Wednesday, 23 September 2015

Brand New Song By DAVIDO-Dodo.

"Dodo" ni moja ya Single zinazoitambulisha Album yake DAVIDO mkali toka nchini Nigeria,
Album aliyoipa jina la "THE BADDEST" anayotarajia kuiachia mwishoni mwa mwezi huu wa Septemba,Album anyoinadi kuwa funika bovu,ambapo DAVIDO ameahidi kumpoteza kwa kiasi kikubwa mpinzani wake WIZKID....
Chukua muda wako kuisikiliza Single hii "Dodo" hapo Chini,


No comments: