Monday, 28 September 2015

Diamond Platnumz - Ccm Number One (Video}

Msanii Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha Hisia zake kwa kukikubali na kuendelea kutumia Sanaa yake kuipigia DEBE,CCM hili limeendelea kudhihirika baada ya kufanya VERSION ya WIMBO wake uliompatia umaarufu"NUMBER ONE"
Diamond ameitolea VIDEO Version hiyo aliyoipa Jina-CCM Number One.
Video ikiwa imeongozwa na Muongozaji Video kijana toka TANZANIA......"Hanscana"
Waweza Kuiangalia Video yenyewe hapo chini,

No comments: