Sunday, 13 September 2015

JACKLINE WOLPER-HATUBAHATISHI KWA LOWASSA.

Its true it Pain bt i'll never look back even if ma familly will surrender on this!!! this z ma slogan, sikukutana na LOWASSA Mtaani, Ma fans don' panic!!! Tunahitaji kuonyesha umma kuwa hatubahatishi kumuunga mkono Mzee wetu Lowassa!!! Tshs Mil. 50 kwangu sio kitu, Hizi movements ninazozifanya Zimebeba ma'billion ya Raia, Pia ninahitaji kuona jamii inakombolewa kupitia mimi, ‪#‎VivaLowassaViva‬

 "Sitageuka Nyuma Kuitizama CCM inavyoadhibiwa na MUNGU" Daima nitaendelea mbele bila kujari CCM inadondosha Sh. Ngapi!! an' Stop Followin' Me!!! Mumedisturb Peace ya watanzania kwa Muda wa kutosha!!! Gharama yangu ni Changes Only!!!! Km Pesa ipo Zaidi ya hiyo, Shame on You!!! Nahitaji watoto wangu waje waikute Tanzania Mpyaaaa!!!
‪#‎VivaLowassaVivaaa‬#

No comments: