Katika kumalizia career yake ya boxing Bondia Floyd Mayweather alimchagua Andre Berto kucheza naye pambano la mwisho ambalo ni la 49. Kama ilivyotegemewa na wengi kwamba lazima Berto angechezea kichapo basi imekua hivyo hivyo na Mayweather amefikia Pointi 49-0 na kumaliza career yake bila kupigwa na boxer yoyote duniani.
Japokuwa watu bado hawajafurahia michezo 49, wanasisitiza Boxer huyo kustaafu kwa kucheza michezo 50 wakidai kuwa ndiyo rekodi nzuri.
Mayweather mwenyewe anaendelea kusisitiza kwamba huu ndio mchezo wake wa mwisho kwenye boxing.Karatasi ya takwimu za mchezo huo umeonyesha jinsi gani Mayweather amecheza vizuri na kushinda bila ubishi.
Mpambano ukiendelea kwa kasi........
Ngumi nzito zikiendelea kutupwa.........
Furaha ya Ushindi............
NB:-IANGALIE VIDEO YA PAMBANO ZIMA HAPO CHINI,
No comments:
Post a Comment