JOH MAKINI NA WEUSI WAKATAA MAMILIONI YA KAMPENI.
 |
Joh Makini |
Msanii Joh
Makini na kundi zima la Weusi wameonyesha kuwaheshimu mashabiki wao kiasi ambacho wamekataa mamilioni ya
fedha kushiriki kwenye kampeni za siasa zinazoendelea kila kona ya Tanania.
Akithibitisha hilo Joh amesema
ingawa wakiwa kama wasanii wana uhuru na haki ya kufanya hivyo, lakini
wao kama Weusi wameona watawachanganya mashabiki wao.
Chanzo:-EATV.
No comments:
Post a Comment