Timbulo ni mmoja kati ya wasanii walioonyesha milengo yao kisiasa mwaka huu, Hit maker huyu wa ‘Domo langu’ ameonekana kwenye ‘stage’ za UKAWA mara kadhaa.
Akizungumza kupitia kipindi cha The jump off cha Times FM, timbulo ameelezea mtazamo wake kuhusiana na kitendo cha wasanii wa filamu Aunt Ezekiel na Vicent ‘Ray’ Kigosi kuhama UKAWA walikokuwa wakishabikia mwanzoni kwenda Chama cha mapinduzi CCM.
Team Lowassa. |
No comments:
Post a Comment