Akiongea
na wanawake wa mjini Sumbawanga mkoani Rukwa,mke wa Mgombea urais
kupitia chama cha DEMOKRASIA na maendeleo Chadema na UKAWA mheshimiwa
Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa,amesema wanawake wanapaswa kufanya
mabadiliko kupitia masanduku ya kura mwaka huu, ili wapate neema ya kuwa
na mazingira mazuri ya kufanyia shughuli zao za kibiashara zisizokuwa
na wingi wa kodi na ushuru kama ilivyo hivi sasa,zinazowaletea kero na
kuwafanya wasiwe na maendeleo yoyote.
No comments:
Post a Comment