Rais Jakaya Mrisho Kikwete aagana na wafanyabiashara nchini.
Rais Jakaya Kikwete amesema amefanikiwa kuweka mazingira bora ya ufanyaji wa biashara hapa nchini hatua ambayo imefanya uchumi wa Tanzania kukua katika kasi inayotakiwa na hivyo kusaidia uboreshaji wa maisha ya watanzania.
Rais Kikwete amesema hayo wakati akizungumza na wajumbe wa baraza la taifa la biashara na kusema kuwa uboreshaji huo umefanyika katika nyanja mbalimbali ikiwemo ujenzi na uboreshaji wa miundombinu na uwekaji wa mazingira rafiki ya ufanyaji wa biashara.

No comments:
Post a Comment