Mbowe
"nimesafiri na mtoi mikoa yote Tz, nilimpebda kwa uadilifu wake, kwa
mara ya mwisho nilionana naye ijumaaa 06:25 Jioni page makao makuu,
alikuja akakuta mimi nina Kikao, mtoi aka lazmisha walinzi kuwa ni
lazima anione.. Wakamkatalia coz nilikuwa na meeting, mtoi hakukubali
akasema lazima nionane na mwenyekiti, wakamruhusu, akaingia ndani,
nikasimamisha kikao, mtoi ili aongee, akasema samahani
mwenyekiti Sina issue kubwa ila nimekuja kukuaga naenda lushoto, naenda
kuzindua kampeni, nikamuangalia nikasema huyu dogo Atakuwa na shida
fulani anazuga tu, nikamuuliza mtoi Sema una shida gani? Una shida na
pesa kiasi gani na kwanini uende lushoto usiku huu ? Akajibu mwenyekiti
Sina shida yoyote.. Nasema hivi nimekuja kukuaga ni lazima niende usiku
huu coz kesho nazindua kampeni, kumbe kweli mtoi ndo alikuwa ananiaga
kwa style hiyo. Amezindua kampeni jmosi na kufariki siku hiyo hiyo.
👆👆baada ya maneno hayo ya MBOWE watu wakaanza kulia Tena. THANKS MTOI.. much love
May his soul RIP... Amen🙏🙏🙏
😭😭😭😭😭


No comments:
Post a Comment