![]() |
| Bi,Josephine Mushumbusi |
WAKATI nyumbani Bongo moto mkubwa umewashwa na mumewe aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, mke wa mwanasiasa huyo maarufu Bongo Bi,Josephine Mushumbusi amekuwa gumzo nchini Marekani. Kwa mujibu wa Mbongo aishiye nchini humo akitumia mtandao wake wa Instagram, mara baada ya Josephine kutua nchini humo akiwa na familia, baadhi ya Wabongo waishio humo walipata habari kupitia mitandao ya kijamii, wakaanza kumtafuta. .

No comments:
Post a Comment