Thursday, 10 September 2015

PICHA:-KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS-CCM JOHN MAGUFULI-TANGA JANA.

Mgombea urais wa CCM John Magufuli katika kampeni zake jana maeneo tofauti ya Korogwe, Mkinga na Lushoto, Bumbuli nk. Magufuli amebainisha kuwa iwapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, basi Serikali yake itahakikisha inaboresha maslahi ya watumishi wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini kutokana na kutambua mchango wao katika kulinda amani ya nchi yetu.

No comments: