 |
Baada Rapa Roma Mkatoliki ya kuachia wimbo wake wa 'Viva Roma viva', rapa huyo amedai kuwa wimbo wake huo unataka kufungiwa
" WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA
SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA
MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU ZANGU!! Viva Roma viva" ameandika
hivyo Roma |
WAWEZA KUISIKILIZA NYIMBO HIYO HAPO CHINI,
No comments:
Post a Comment