Hizi ni baadhi ya picha za msanii wa filamu za vichekesho nchini, Rashid
Mwinshehe ‘Kingwendu’ ambaye ni mgombea ubunge jimbo la Kisarawe
kupitia tiketi ya chama cha wananchi CUF alipokuwa akinadiwa na
mgombea mwenza wa urasi kupitia CHADEMA, Juma Duni Haji hivi karibuni wilayani humo.
No comments:
Post a Comment