Rais Jakaya Mrisho kikwete akitambulishwa na
Mkurugenzi wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa
vija na kutoka Uingereza anayetambuliw3a na FIFA ambaye atakuwa mkufunzi
Mkuu katika kituo hicho wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha
kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam
leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya
Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion. |
No comments:
Post a Comment