Tuesday, 22 September 2015

UTAFITI WA TWAWEZA KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015.

Taasisi ya Twaweza imetoa utafiti wake ambao inasema imeufanya kwa wananchi wa Tanzania bara kutoka mikoa tofauti ya Tanzania. Swali la kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura mgombea wa chama gani?
Wao wanasema watu wamejibu kama ifuatavyo:-
CCM - 66%
CHADEMA - 22%
CUF - 1%
ACT wazalendo - 0%
UKAWA - 3%
Kingine - 6%
Hakuna jibu 2%


No comments: