Mkuu
wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki (kulia) akiwa katika
bandari ya Dar es Salaam alipofanya ziara ya kujionea kuwasili kwa
Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) tayari kwa
kuanza huduma hiyo. Kushoto ni Kaimu Meneja
Bandari ya Dar es Salaam, Bw.Hebel Mhanga, wa pili kushoto ni Mkurugenzi
wa Kampuni UDA Rapid Transit (UDA-RT),Bw. Robert Kisena ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam na wa pili kushoto ni
Msemaji wa Kampuni hiyo,Bw, Sabri Maburuki. |
No comments:
Post a Comment