Monday, 21 September 2015

DIAMOND AWACHANGANYA WASANII WENZAKE KWA KAULI YAKE.

Wadau wanajiuliza vipi Diamond kauli hii,uliyoitoa na kuiandika Mitandaoni juu ya maovu ya Serikali ya chama tawala kwa Wasanii....Chama unachokipigia Debe leo kwa mara nyingine...
Vipi mbona hata kama kuna mabadiliko hukuja kutuambia?

Page Liked · April 9, 2013 ·
 

Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao.....

No comments: