Tuesday, 22 September 2015

ADOLPH HITLER ALIKUWA NI SHABIKI MKUBWA WA SOKA.

Adolf Hitler
HITLER ALIKUWA SHABIKI WA SCHALKE 04
KIONGOZI wa zamani wa Ujerumani, Adolf Hitler, alikuwa shabiki mkubwa wa timu ya Schalke 04, chini ya utawala wa kiongozi huyo, Schalke 04 ilitwaa ubingwa wa Ujerumani mara sita (mwaka 1934, 1935, 1937, 1939, 1940, 1942), baada ya Hitler kufariki dunia, timu hiyo ilitwaa ubingwa huo mwaka 1958, baada ya hapo haikuwahi kutwaa ubingwa huo tena mpaka leo.

No comments: