Monday, 28 September 2015

Wananchi wadai Mabadiliko kwenye Mkutano wa Magufuli.

Hali ya sintofahamu ilizuka juzi mkoani Mbeya baada ya maelfu ya Wananchi waliohudhuria kampeni za mgombea wa kiti cha urais"CCM" Dkt,John Pombe Magufuli kupiga shangwe wakimtaja mgombea wa kiti hicho cha urais"UKAWA"Bw,Edward Ngoyai Lowassa"huku wakionyesha baadhi ya Ishara zinazotumiwa na umoja huo wa katiba ya wananchi{UKAWA},wakitumia Mikono na Vidole....
Waweza kuiangalia VIDEO ya tukio zima Hapo chini....

No comments: