Thursday, 10 September 2015

WASSIRA ASHINDWA KUJIBU SWALI LA WANANCHI WAKE.


Kampeni hizi mpaka ziishe Watanzania tutajionea mengi ya kuchekesha na kuudhi. Wassira akiwa kwenye kampeni juzi aliulizwa Swali na Wananchi kuwa aliahidi kwa kipindi chake alichokua Mbunge angeleta Maji lakini mpaka sasa hamna maji.

Mbunge huyo nae alijibu kwa kuuliza Swali,  "Kama Mnasema Hamna Maji, Je Mnamezea nini Dawa?"

Hili swali liliwashinda Wananchi hao kulijibu na hivyo Mbunge huyo akaifanya Agenda hii ya tatizo la Maji sio tatizo kubwa kwa kuwa Watu Wanakunywa Dawa.

No comments: