![]() |
Marehemu Estomih Mallah. |
Hii hapa ni Taarifa iliyotolewa Mtandaoni kupitia Mgombea wa Kiti cha Urais kupitia chama hicho Mama Anna Mghwira......
Tumesimamisha kampeni kwa siku mbili leo na kesho kama kuonesha heshima na uzalendo kwa mwenzetu, kiongozi wetu, mshauri wetu, kiungo muhimu sana kwa chama chetu. Tutaendelea na kampeni kuanzia jumatatu tena.
Tunawaomba wanachama na wapenda amani na maendeleo wote waungane nasi katika kipindi hiki. Ninaiomba na kuiombea familia ya mzee wetu Mallah, amani na mshikamano wakati huu.
Mungu amempenda zaidi.
No comments:
Post a Comment