Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bwana Rished Bade na Makatibu Wakuu,
Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es
salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali
kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi. |
No comments:
Post a Comment