Zanzibar: Polisi warusha Mabomu ya Machozi muda mfupi baada ya Seif kujitangazia ushindi kabla ya ZEC kumaliza kujumlisha.
— Times Fm 100.5 (@TimesFMTZ) October 26, 2015
VIDEO IKIMUONYESHA MAALIM SEIF AKITANGAZA RASMI MATOKEO,YALIYOMPA USHINDI MKUBWA KWENYE KITI CHA URAIS-ZANZIBAR. Happening now in Zanzibar !Maalim Seif asema ameshinda kwa kura 200,077 kwa mujibu wa fomu za kupigia kura, na Dr. Shein kapata kura 178,363 ambapo tofauti ya kura ni 21,714. Hivyo kutokana na fomu hizo Maalim Seif anasema kashinda kwa 52.87% na hatokubali kwa matokeo endapo yatakuja tofauti.Ameitaka Tume iweze kutangaza matokeo hayo haraka na watu waendelee kua katika amani na usalama...kwa maelezo zaidi angalia video ya Tamko lake lote hapo chini !Shukran.
Posted by Ally Almafadhy on Monday, October 26, 2015
NB:_PAKUA NA SIKILIZA TAARIFA YA SHIRIKA LA HABARI UJERUMANI{DUTCH WELLE} JUU YA TUKIO HILO HAPA>>>>>>https://my.notjustok.com/track/download/id/42964

No comments:
Post a Comment