Saturday, 17 October 2015

MANENO YA MWISHO TOKA KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE.

Marehemu Deo Filikunjombe.
Deo Filikunjombe alikuwa mbunge wa Ludewa (CCM) ambaye alipata ajali ya Helikopta juzi usiku kwenye eneo la Selous na kufariki jioni ya October 15 2015 akiwa na watu wengine watatu akiwemo baba mzazi wa aliyekua meya wa Wilaya ya Ilala Jerry Silaa,Capt William Silaa.
Capt William Silaa.
Mh,Deo Filikunjombe ameacha Mke na watoto watatu.......
Pia maandalizi ya Mazishi ya Marehemu yanaendelea Nyumbani kwake Mtoni Kijichi jijini Dar es salaam.

Ukibonyeza play hapo chini utazisikia dakika sita za mahojiano ya mwisho kati ya Deo Filikunjombe na millardayo.com kwenye msiba wa Mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila ambapo alizungumzia kifo cha Mtikila pamoja na jimbo la Ludewa.

No comments: